Kudhibiti YouTube kwenye TV kwa kutumia Programu ya Mratibu wa Google

Unaweza kutazama YouTube kwenye TV na kutumia programu ya Mratibu wa Google kudhibiti programu ya YouTube. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuunganisha spika au skrini yako ya Google Nest au Google Home.

Amri ya sauti za kawaida

Ili utumie amri za sauti hapa chini, anza kwa kutamka “Hey Google” au “OK Google.”

Ili kucheza au kuendelea kucheza video:

  • Cheza YouTube.
  • Endelea

Ili kusitisha au kusimamisha video:

  • Simamisha
  • Sitisha

Ili kusogeza video mbele haraka:

  • Sogeza mbele haraka sekunde 30 (au muda unaochagua)
  • Peleka mbele haraka

Ili kurudisha nyuma video:

  • Rudisha nyuma sekunde 30 (au muda unaochagua)
  • Rudisha nyuma

Ili kwenda kwenye video inayofuata:

  • Inayofuata 

Ili kwenda kwenye video iliyotangulia:

  • Iliyotangulia

Ili kuanzisha upya video:

  • Anza upya 

Ili kuzima manukuu:

  • Ili kuzima manukuu

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
16302542229826214120
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false