Tazama YouTube kwenye TV ukitumia sauti inayozingira ya 5.1

Unaweza kutazama video za YouTube kwenye TV yako kupitia sauti inayozingira ya 5.1. Furahia maktaba ya YouTube ya vipindi na filamu pamoja na maudhui mengine ya YouTube kupitia mfumo wako unaoruhusiwa wa sauti inayozingira.

Kuwasha sauti inayozingira ya 5.1

Baada ya kuchagua video ya kucheza, upau wa vidhibiti vya kichezaji utaonekana. Nenda kwenye sauti inayozingira ya 5.1 ili uiwashe au uizime.

Kumbuka: Mipangilio itaonekana tu kwa video na vifaa vinavyoruhusu sauti inayozingira ya 5.1. 5.1 katika YouTube inaruhusiwa kwenye vifaa vyote vya 2021 na vipya zaidi vya televisheni, Chromecast, Apple, TV, Roku na vifaa vingi vya Fire TV. Pia, sauti inayozingira ya 5.1 inaruhusiwa kwenye Matoleo ya Xbox ya S|X, Xbox One X, Xbox One S, Xbox One na PlayStation 5. Televisheni nyingi za 2020 na matoleo ya awali zinaweza kuruhusu sauti inayozingira - angalia mtengenezaji wa kifaa chako ili uone iwapo kifaa chako kinaruhusu 5.1.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
1727625854357616183
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false