Rudia video au orodha za kucheza kwenye YouTube

Wakati unatazama video kwenye YouTube, unaweza kucheza video au orodha ya kucheza kwa kurudia kwa kuweka mipangilio ya kujirudia.

Ili kurudia video:

  1. Nenda kwenye skrini ya kutazama ya video yoyote.
  2. Bofya Kulia kwenye kicheza video.
  3. Bofya Rudia  Video itaendelea kurudiwa.

Ili kurudia orodha ya kucheza:

1. Nenda kwenye video ambayo ni sehemu ya orodha ya kucheza.
2. Katika upande wa kulia, panua orodha ya kucheza.
3. Kwenye kisanduku cha orodha ya kucheza, bofya Rudia . Video itaendelea kurudiwa

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
3704373339754453597
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false