Kutazama maudhui yaliyo na mipaka ya umri

Ili kukupa hali inayoambatana ya umri kwenye YouTube, maudhui ambayo hayafai watazamaji walio na umri wa chini ya miaka 18 huwekewa mipaka ya umri.

Maana ya mipaka ya umri kwa watazamaji

Video zilizo na mipaka ya umri haziwezi kutazamwa iwapo watumiaji:

Iwapo unaishi Australia, Umoja wa Ulaya (EU), nchi washirika katika Makubaliano ya Kiuchumi ya Ulaya (EEA), Uswisi au Uingereza, huenda ukaombwa uthibitishe umri wako ili utazame video zenye mipaka ya umri.

Iwapo unaishi EU, EEA, Uswisi au Uingereza

Kulingana na Agizo la Huduma za Maudhui ya Sauti na Video (AVMSD), huenda ukaombwa uthibitishe tarehe yako ya kuzaliwa ili utazame video zenye mipaka ya umri. AVMSD hushughulikia maudhui yote ya sauti na video, ikiwa ni pamoja na mifumo ya kushiriki video.

Fuata vidokezo ili utume picha ya kitambulisho au kadi halali ya mikopo. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi uthibitishaji wa umri hufanya kazi.

Iwapo unaishi Australia

Unaweza kuombwa uthibitishe tarehe yako ya kuzaliwa ili utazame video zenye mipaka ya umri. Hatua hii ya ziada inasimamiwa na Tamko la Usalama wa Mtandaoni Australia (Mifumo ya Ufikiaji Unaodhibitiwa). Tamko hili linahitaji mifumo kuchukua hatua adilifu za kuthibitisha kuwa watumiaji ni watu wazima ili waweze kufikia maudhui ambayo huenda hayafai kwa watazamaji walio na umri wa chini ya miaka 18.

Fuata vidokezo ili utume picha ya leseni halali ya udereva, kadi ya Uthibitisho wa Umri, au pasipoti. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi uthibitishaji wa umri hufanya kazi.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
13189958403049286503
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
59
false
false