Jisajili kwenye jarida la Google kwa Mashirika Yasiyolenga Faida

Google kwa Mashirika Yasiyolenga Faida hutuma jarida lenye taarifa kuhusu fursa, mipango na miradi mahususi ya mashirika yasiyolenga faida. Si lazima uwe na akaunti ya Google kwa Mashirika Yasiyolenga Faida ili upokee majarida, mtu yeyote anaweza kujisajili. Ili ujisajili kupokea jarida, fuata hatua hizi:

  1. Nenda kwenye www.google.com/nonprofits/account/settings/edit
  2. Teua kisanduku kilicho karibu na Majarida kisha ubofye Hifadhi.
  3. Utapokea barua pepe kutoka Google yenye mada: "Thibitisha kuwa ungependa kupokea Majarida kutoka Google kwa Mashirika Yasiyolenga Faida." Katika barua pepe hii, bofya Ndiyo, ningependa kupokea Majarida.

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
14171857922509201601
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
false
true
true
true
false
false
false