Mashirika yanayopata msamaha wa kodi

Makala haya yanatumika tu kwa mashirika yaliyo Marekani pekee.

Baadhi ya aina ya mashirika nchini Marekani, kama makanisa, ambayo yanatimiza mahitaji ya sehemu ya IRC 501(c)(3) yanachukuliwa kuwa yamepewa msamaha wa kodi kiotomatiki na hayatakiwi kutuma maombi ya kutambuliwa kuwa yana hali ya msamaha wa kodi kwenye IRS.Ili utimize masharti ya mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida, ni lazima mashirika yapate utambuzi wa kutotozwa ushuru wa 501(c)(3) kutoka IRS.Mashirika ambayo hayajasajiliwa na IRS na hayajaorodheshwa kwenye chapisho la IRS mtandaoni la mashirika yanayopata msamaha wa kodi hayajatimiza masharti ya mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida.

Iwapo shirika lako lina hadhi ya kutoa misaada kupitia ruhusa ya kutotozwa ushuru wa vikundi kutoka shirika kuu, bado unaweza kuzingatiwa katika mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida. Pata maelezo zaidi

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
10354520266504560755
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
false
true
true
true
false
false
false
false