Pata usaidizi wa maswali ya bidhaa mahususi

Iwapo unatatizika kuhusu bidhaa ambayo tayari umewezesha, teua bidhaa hapa chini ili upate chaguo za kuwasiliana na timu ya usaidizi au utafute makala ya Kituo cha Usaidizi ili yakusaidie kutatua tatizo. 

   Google Workspace kwa Mashirika Yasiyolenga Faida

Iwapo unatatizika kuwezesha Google Workspace kwa Mashirika Yasiyolenga Faida, angalia kitatuzi chetu cha uwezeshaji.

Iwapo unatatizika kufikia akaunti yako ya Google Workspace au unahitaji kufungua akaunti mpya lakini umeshindwa kwa sababu tayari kuna akaunti inayotumia jina la kikoa chako, angalia kitatuzi chetu cha idhini ya kufikia akaunti.

Iwapo unahitaji usaidizi kuweka mipangilio au kutumia Google Workspace, jaribu nyenzo hizi:

Usaidizi wa ziada wa bidhaa:

   Ruzuku za Matangazo ya Google

Iwapo unatatizika kutumia Ruzuku za Matangazo ya Google, angalia hatua hizi za utatuzi .

Ikiwa unatatizika kufikia akaunti yako ya Ruzuku za Matangazo ya Google, angalia nyenzo yetu kuhusu idhini ya kufikia akaunti.

Iwapo unahitaji usaidizi wa kuweka mipangilio au kutumia Ruzuku za Matangazo ya Google, jaribu nyenzo hizi:

Usaidizi wa ziada wa bidhaa:

   YouTube kwa Mashirika Yasiyolenga Faida

Iwapo unatatizika kuwezesha YouTube kwa Mashirika Yasiyolenga Faida, angalia hatua hizi za utatuzi .

Iwapo unahitaji usaidizi wa kuweka mipangilio au kutumia YouTube, unaweza kujaribu nyenzo hizi:

Usaidizi wa ziada wa bidhaa:

  Jukwaa la Ramani za Google

Iwapo unatatizika kuwezesha masalio yako ya Jukwaa la Ramani za Google, angalia hatua hizi za utatuzi.

Iwapo unahitaji usaidizi wa kuweka mipangilio au kutumia Jukwaa la Ramani za Google, jaribu nyenzo hizi:

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
8723561597560926557
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
false
true
true
true
false
false
false
false