Programu za Simu Zisizotakikana
Sera hii hutokana na Sera ya Google ya Programu Isiyotakikana kwa kubainisha kanuni za mfumo wa Android na Duka la Google Play. Programu inayokiuka kanuni hizi inaweza kuwa hatari kwa hali ya utumiaji na tutachukua hatua kulinda watumiaji dhidi yake.