Kituo cha Sera
Tujenge chanzo cha programu na michezo kinachoaminika zaidi ulimwenguni
Ubunifu wako huleta mafanikio tunayoshiriki, lakini ubunifu huo huambatana na majukumu. Sera hizi za Mpango wa Wasanidi Programu pamoja na Mkataba wa Usambazaji kwa Wasanidi Programu, huhakikisha kuwa tunashirikiana kusambaza programu zinazoaminika na zilizobuniwa kwa ustadi kwa zaidi ya watu bilioni moja kupitia Google Play. Tunakualika usome sera zetu hapa chini.
Maudhui yenye Vikwazo
- Kuhatarisha Maisha ya Watoto
- Maudhui Yasiyofaa
- Huduma za Fedha
- Mashindano, Michezo na Kamari za Pesa Halisi
- Shughuli Zinazokiuka Sheria
- Maudhui Yaliyozalishwa na Watumiaji
- Maudhui na Huduma za Afya
- Maudhui yanayotokana na Rekodi ya makundi ya miamala
- Maudhui Yaliyotayarishwa na AI
- Ukaguzi wa Mapema: Kuhatarisha Maisha ya Watoto