Dhibiti orodha zako
Sanidi muundo wa orodha za dukani na uwezo wa kutambulika kwa programu zako kwenye Google Play.
- Chagua aina na lebo ya mchezo au programu yako
- Masharti yanayohusiana na madaraja ya maudhui ya programu, michezo na matangazo yanayoonyeshwa kwenye programu na michezo
- Weka vipengee vya kukagua ili uonyeshe programu yako
- Unda ukurasa maalum wa programu katika Google Play ili ulenge watumiaji mahususi
- Mbinu bora za ukurasa wa programu yako katika Google Play
- Dhibiti mipangilio ya maudhui ya programu na hadhira lengwa