Maudhui ya matangazo kwa ajili ya matukio ya ndani ya programu na ndani ya michezo na bidhaa zinazoangaziwa

Kumbuka: Maudhui ya matangazo yanapatikana kwa programu zinazotimiza masharti ya kujiunga ya zana za ukuaji zinazolipishwa.

Unaweza kutumia maudhui ya matangazo kutayarisha matukio yatakayoonyeshwa kwenye Duka la Google Play. Matukio haya yanaweza kuwa matukio ya muda mfupi, masasisho muhimu, au ofa za kutangaza mchezo au programu yako kwenye Google Play na kuongeza matukio ya kushiriki na mitagusano kwa watumiaji wako.

Unaweza pia kutumia maudhui ya matangazo kubuni bidhaa zinazoangaziwa zitakazoonyeshwa kwenye Google Play. Bidhaa zinazoangaziwa hukuwezesha kuuza vipengee vilivyo ndani ya programu moja kwa moja kwenye Google Play. Unaweza kuangazia bidhaa mahususi za ndani ya programu (Ununuzi ndani ya programu) katika nchi mbalimbali ili kuweka ofa za kimataifa, au kutoa mapunguzo ili kuwavutia watumiaji na kuongeza matukio ya kushawishika.

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
15800721826033625790
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
92637
false