API ya Uadilifu ya Google Play

API ya Uadilifu ya Google Play hukuwezesha kuthibitisha kuwa mitagusano inatokana na programu yako halisi, iliyosakinishwa na Google Play, inayoendeshwa kwenye kifaa halali cha Android. Ukigundua shughuli hatari na zisizojulikana, unaweza kuchukua hatua inayofaa kuzuia mashambulio na matumizi mabaya.

Unaweza kutumia fomu iliyo hapa chini kutoa maoni, kuripoti hitilafu au kuwasilisha ombi la kuongeza kikomo cha juu cha maombi ya programu yako kwa siku. Kwa chaguomsingi, kikomo cha juu cha maombi ya programu kwa siku ni 10,000. Kabla ya kuwasilisha ombi la kuongeza kikomo cha matumizi, kagua hati za API ya Uadilifu ya Google Play ikijumuisha desturi za usalama zinazopendekezwa ili kuhakikisha umetekeleza API ipasavyo. 

At this time, we can only respond to emails sent in English, Chinese, Japanese, and Korean. 

* Required field

Tafadhali bainisha: *
Je, unatekeleza vipi API ya Uadilifu ya Google Play? *

Programu yako inatekeleza maombi yepi ya API?

*
(Utaratibu wa awali wa kutuma maombi sasa unajulikana kama kuwasilisha maombi ya awali. Pata maelezo zaidi kwenye hati)
Je, unatekeleza API mara ngapi kwa kila mtumiaji? *
Samahani, hatuwezi kutekeleza ombi lako. API ya Uadilifu ya Google Play hukuwezesha kulinda vitendo nyeti visivyotekelezwa mara kwa mara na kutekeleza API kwenye kifaa cha mtumiaji huchukua muda, hutumia data na chaji ya betri, kwa hivyo huenda ikasababisha programu yako kupakia polepole. Ili kuepuka utekelezaji wa mara kwa mara, kagua upya vitendo nyeti ambavyo ungependa kulinda, au unaweza kuviweka kwenye akiba kwa muda, iwapo hii inaambatana na mkakati wako dhidi ya matumizi mabaya.
Je, kuna tukio lolote la PII au SPII iliyotumiwa katika dhuluma (k.m. kitambulisho cha mtumiaji, jina la mtumiaji, nambari ya simu, Kitambulisho cha Android, SSN, n.k)? *
Je, unathibitisha vipi majibu ya API ya Uadilifu ya Google Play? *
Je, programu yako hujaribu upya vipi kukitokea hitilafu za API ya Uadilifu ya Google Play? *
Je, programu yako itachukua hatua gani API ya Uadilifu ya Google Play ikigundua trafiki hatari? *
Tafadhali jibu ukiwazia lengo lako kuu hata ikiwa programu yako bado haitumiki. Kumbuka, programu yako inapaswa pia kukabili hitilafu za API ya Uadilifu ya Google Play na kutopatikana kwa API.
Kikomo cha idadi ya maombi - Kadirio la jumla ya hoja kwa siku *
Je, utatumia vipi API ya Uadilifu ya Google Play kwenye programu yako? Unalinda nini? Kadirio la kikomo chako linategemea nini?
Jaza TU sehemu hii ikiwa mtindo wa trafiki/shughuli za huduma yako haulingani.
Kumbuka: Ikiwa ungependa kuripoti hitilafu inayohusiana na API ya Uadilifu ya Google Play, unapaswa kuwasilisha malalamishi kupitia kifuatiliaji cha hitilafu cha umma hapa.
This field is required.
https://myaccount.google.com/privacypolicy?hl=$0
Tutatuma baadhi ya maelezo ya akaunti na mfumo kwa Google na tunaweza kurekodi gumzo na simu za usaidizi. Tutatumia maelezo haya kuimarisha ubora wa mafunzo na huduma za usaidizi ili kusaidia kutatua matatizo ya kiufundi na kuboresha bidhaa na huduma zetu, kwa mujibu wa Sera ya Faragha na Sheria na Masharti yetu. Huduma za kutafsiri huenda zikatumika kwenye gumzo na barua pepe.
Maelezo ya ziada
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
1628774974290630495
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
92637
false
false
false