API ya Uadilifu ya Google PlayAPI ya Uadilifu ya Google Play hukuwezesha kuthibitisha kuwa mitagusano inatokana na programu yako halisi, iliyosakinishwa na Google Play, inayoendeshwa kwenye kifaa halali cha Android. Ukigundua shughuli hatari na zisizojulikana, unaweza kuchukua hatua inayofaa kuzuia mashambulio na matumizi mabaya. Unaweza kutumia fomu iliyo hapa chini kutoa maoni, kuripoti hitilafu au kuwasilisha ombi la kuongeza kikomo cha juu cha maombi ya programu yako kwa siku. Kwa chaguomsingi, kikomo cha juu cha maombi ya programu kwa siku ni 10,000. Kabla ya kuwasilisha ombi la kuongeza kikomo cha matumizi, kagua hati za API ya Uadilifu ya Google Play ikijumuisha desturi za usalama zinazopendekezwa ili kuhakikisha umetekeleza API ipasavyo. At this time, we can only respond to emails sent in English, Chinese, Japanese, and Korean. * Required fieldTafadhali bainisha: *Ongeza kikomo cha juu cha maombi ya kila sikuToa maoniRipoti tatizoJina la shirika/anayewasilisha ombi *Anwani ya barua pepe *Kitambulisho cha akaunti ya msanidi programu *?Inapatikana kwenye Dashibodi yako ya Google Play Ukurasa wa maelezo ya akauntiMajina ya vifurushi vya programu *?Ili upate jina la kifurushi cha programu yako, chagua programu yako kwenye play.google.com au kwenye Dashibodi yako ya Google Play. Jina la kifurushi cha programu yako linapatikana katika sehemu ya mwisho ya URL ya programu hiyo: Kwenye play.google.com: Baada ya id=your.package.name Kwenye Dashibodi ya Google Play: Baada ya p=your.package.name Nambari au Kitambulisho cha Mradi wa Wingu la Google *?Mradi wako wa Wingu la Google umeunganishwa kwenye Dashibodi yako ya Google Play katika ukurasa wa API ya UadilifuJe, unatekeleza vipi API ya Uadilifu ya Google Play? *Programu yangu inatekeleza API moja kwa mojaHuduma ya wahusika wengine ninayotumia kwenye programu yangu inatekeleza API, tafadhali bainishaProgramu yako inatekeleza maombi yepi ya API? *(Utaratibu wa awali wa kutuma maombi sasa unajulikana kama kuwasilisha maombi ya awali. Pata maelezo zaidi kwenye hati)Maombi ya kawaida Maombi ya awaliMseto wa maombi ya kawaida na ya awali Je, unatekeleza API mara ngapi kwa kila mtumiaji? *Haizidi mara moja kwa sikuMara moja kwa saaMara moja kwa dakika 15Mara moja kwa dakika 5 au zaidi Samahani, hatuwezi kutekeleza ombi lako. API ya Uadilifu ya Google Play hukuwezesha kulinda vitendo nyeti visivyotekelezwa mara kwa mara na kutekeleza API kwenye kifaa cha mtumiaji huchukua muda, hutumia data na chaji ya betri, kwa hivyo huenda ikasababisha programu yako kupakia polepole. Ili kuepuka utekelezaji wa mara kwa mara, kagua upya vitendo nyeti ambavyo ungependa kulinda, au unaweza kuviweka kwenye akiba kwa muda, iwapo hii inaambatana na mkakati wako dhidi ya matumizi mabaya. Je, kuna tukio lolote la PII au SPII iliyotumiwa katika dhuluma (k.m. kitambulisho cha mtumiaji, jina la mtumiaji, nambari ya simu, Kitambulisho cha Android, SSN, n.k)? *Ndiyo, lakini imepunguzwa urefu au imesimbwa kwa njia ficheNdiyo, katika maandishi dhaririHapanaJe, unathibitisha vipi majibu ya API ya Uadilifu ya Google Play? *Kwenye seva - kwa kutekeleza seva ya Google Play ili kusimbua na kuthibitishaKwenye seva - kwa kusimbua na kuthibitisha kwa kutumia funguo za API ninazodhibitiKwenye programu yangu - kwa kutekeleza seva ya Google Play ili kusimbua na kuthibitishaKwenye programu yangu - kwa kusimbua na kuthibitisha kwa kutumia funguo za API ninazodhibitiNyingine (tafadhali taja)Je, programu yako hujaribu upya vipi kukitokea hitilafu za API ya Uadilifu ya Google Play? *Haijaribu upyaHujaribu upya mara chache ndani ya kipindi kifupiHuongeza muda wa kujaribu upya baada ya kila jaribioNyingine (tafadhali taja)Je, programu yako itachukua hatua gani API ya Uadilifu ya Google Play ikigundua trafiki hatari? *Tafadhali jibu ukiwazia lengo lako kuu hata ikiwa programu yako bado haitumiki. Kumbuka, programu yako inapaswa pia kukabili hitilafu za API ya Uadilifu ya Google Play na kutopatikana kwa API.Itazuia ufikiaji wa vipengele (kwa mfano, watumiaji hawataweza kuingia katika akaunti). Ningependa kuzuia matumizi yasiyoidhinishwa kwenye programu yangu.Itabadilisha au kuzuia vipengele mahususi (kwa mfano, watumiaji walio na vifaa halali pekee ndio wataruhusiwa kwenye ubao wa wanaoongoza). Huenda matumizi ya kawaida ya programu yangu yasibadilike.Hatua kadhaa - itazuia ufikiaji wa baadhi ya majibu na kubadilisha vipengele vya majibu mengine. Ningependa kupunguza matumizi fulani yasiyoidhinishwa kwenye programu yangu.Hakuna hatua itakayochukuliwa. Ninakusanya data tu.Nyingine (tafadhali taja)Kikomo cha idadi ya maombi - Kadirio la jumla ya hoja kwa siku *10,000 hadi 1,000,000 (elfu 10 hadi milioni 1)1,000,000 hadi 10,000,000 (milioni 1 hadi milioni 10)10,000,000 hadi 100,000,000 (milioni 10 hadi milioni 100)100,000,000 au zaidi (zaidi ya milioni 100)Kwa kuwa makadirio ya matumizi ya programu yako kwa siku ni zaidi ya maombi milioni 10 kwa siku, tafadhali toa maelezo zaidi *Je, utatumia vipi API ya Uadilifu ya Google Play kwenye programu yako? Unalinda nini? Kadirio la kikomo chako linategemea nini?Kikomo cha maombi - Makadirio ya upeo wa maombi kwa sekundeJaza TU sehemu hii ikiwa mtindo wa trafiki/shughuli za huduma yako haulingani.Tafadhali fafanua vipengee zaidi vya kipimo cha maombi:Tafadhali toa maoni yako: *Tafadhali fafanua hitilafu hiyo kwa kina, kadri uwezavyo: *Kumbuka: Ikiwa ungependa kuripoti hitilafu inayohusiana na API ya Uadilifu ya Google Play, unapaswa kuwasilisha malalamishi kupitia kifuatiliaji cha hitilafu cha umma hapa.This field is required.WasilishaImewasilishwaBadilisha ombiPakua wasilisho https://myaccount.google.com/privacypolicy?hl=$0 Tutatuma baadhi ya maelezo ya akaunti na mfumo kwa Google na tunaweza kurekodi gumzo na simu za usaidizi. Tutatumia maelezo haya kuimarisha ubora wa mafunzo na huduma za usaidizi ili kusaidia kutatua matatizo ya kiufundi na kuboresha bidhaa na huduma zetu, kwa mujibu wa Sera ya Faragha na Sheria na Masharti yetu. Huduma za kutafsiri huenda zikatumika kwenye gumzo na barua pepe. Maelezo ya ziada Sawa Barua pepe yako imetumwaThanks for contacting us. We'll follow up with you only if we need more information or have additional information to share.Badilisha ombiPakua wasilisho