Haturuhusu programu zinazowezesha au kuendeleza shughuli zinazokiuka sheria.
Mifano ya kawaida ya ukiukaji- Kuwezesha uuzaji au ununuzi wa dawa za kulevya.
- Inayoonyesha au inayohamasisha watoto kutumia au kuuza dawa za kulevya, pombe au tumbaku.
- Maagizo ya kupanda au kutengeneza dawa za kulevya.