Tunakuletea toleo jipya la Dashibodi ya Google Play

Mnamo mwezi Juni, 2020 tulizindua toleo jipya la Dashibodi ya Google Play na mnamo mwezi Novemba mwaka huohuo, tulianza kufunga kabisa Dashibodi ya zamani ya Google Play. Sasa, wasanidi programu wote watatumia toleo jipya la Dashibodi ya Google Play, ambalo unaweza kupata hapa: play.google.com/console

Nini kimebadilika?

Tumebuni toleo jipya la Dashibodi ya Google Play ili likufae zaidi. Muundo wake unaoweza kubadilika unamaanisha kuwa unaweza kuitumia kwenye vifaa vyako vyote. Yafuatayo ni baadhi ya mabadiliko ambayo tumefanya:

  • Tumepanga upya Muhtasari wa matoleoToleo la umma sasa liko katika sehemu ya juu na tumeweka pamoja vikundi vyote vya kujaribu. Kipengele cha kushiriki programu ndani ya kampuni kinaweza pia kupatikana chini ya Mipangilio.
  • Tumeongeza kasi, utendaji na kufanya marekebisho ya UI (kiolesura) - Masasisho tuliyofanya ni pamoja na kuweka visanduku vya maandishi vinavyoweza kurekebishwa ukubwa, arifa za ujumbe ambao haujasomwa na vichwa vilivyoboreshwa kwenye vifaa vya mkononi ili nafasi zitumiwe ipasavyo.
  • Tumezindua Kikasha- Kikasha chako kitakuwa sehemu yako ya ujumbe iliyowekewa mapendeleo inayoangazia maelezo muhimu, masasisho ya sera, mapendekezo ya vipengele na zaidi.
  • Ukurasa mpya wa Muhtasari wa uchapishaji - Ukurasa huu unakuruhusu uone mabadiliko yanayokaguliwa. 
  • Mpya Uchapishaji unaodhibitiwa - Unakupa udhibiti wa uzinduzi kwa kukuruhusu uamue wakati ambao mabadiliko yaliyoidhinishwa yatachapishwa.
  • Sehemu ya Masasisho Ripoti za usakinishaji wa programu - Sehemu hii imerekebishwa ili kukusaidia uelewe utendaji wako katika muda fulani. Ili upate maelezo zaidi kuhusu jinsi ilivyobadilika, tembelea makala ya Pima na uchanganue usakinishaji wa programu yako .
  • Kampeni ya Google Ads - Bado unaweza kuunganisha akaunti yako ya Google Ads ili ufuatilie kushawishika na orodha za kutangaza tena, lakini kuripoti kampeni ya Google Ads na arifa za akaunti sasa zitapatikana katika Google Ads.
  • Utafutaji na usogezaji uliorahisishwa - Sasa unaweza kutafuta kwenye Dashibodi ya Google Play, hali inayorahisisha mchakato wa kutafuta kurasa na vipengele kwa haraka.
  • Ufikiaji salama zaidi - Tulitangaza pia mwaka wa 2020 kuwa watumiaji wote wa Dashibodi ya Google Play watahitaji kutumia Uthibitishaji wa Hatua Mbili.

Pata maelezo zaidi kuhusu toleo jipya la Dashibodi ya Google Play

Ili upate maelezo zaidi kuhusu toleo jipya la Dashibodi ya Google Play, unaweza:

 

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
6008382270246322001
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
92637
false
false