Kujaribu huduma ya kutozwa kupitia Google Play ukitumia leseni ya programu

Kwa kutumia leseni ya programu, unaweza kuweka mipangilio ya akaunti za Gmail ili ujaribu kuunganisha usajili na njia ya kutozwa kupitia Google Play. Kila mara, akaunti yako ya kuchapisha huzingatiwa kuwa inayojaribu leseni.

Kuweka mipangilio ya leseni ya programu

Ili uweke mipangilio ya leseni ya programu, anza kwa kuweka akaunti za wanaojaribu programu yako kwenye Dashibodi ya Google Play.

  1. Fungua Dashibodi ya Google Play.
  2. Bofya Mipangilio >Kujaribu leseni.
  3. Chagua wanaojaribu leseni yako kwenye orodha ya barua pepe iliyoonyeshwa au ubofye Tunga orodha ili utunge orodha mpya.
    • Kidokezo: Orodha za barua pepe hutumika jinsi ilivyofafanuliwa katika sehemu ya "Tunga orodha ya barua pepe ya wanaojaribu programu yako" kwenye sehemu hii ya makala ya Kituo chetu cha Usaidizi kuhusu majaribio ya ndani, ya watu mahususi na ya watu wengi.
  4. Bofya Hifadhi mabadiliko.

Ukiwa tayari, hakikisha:

Kujaribu usajili na kutozwa kupitia Google Play

Unaweza kununua programu yako mwenyewe, bidhaa ya mara moja au usajili kama jaribio la ununuzi. Ukikamilisha kuweka mipangilio ya leseni ya programu, watumiaji walioidhinishwa wanaweza pia kulipia bidhaa za mara moja na usajili bila kutozwa kwenye akaunti zao.

Unapaswa kuchapisha bidhaa za usajili na ununuzi wa mora moja ili ziweze kufanyiwa majaribio.

Pata maelezo zaidi kuhusu kujaribu Maktaba ya Malipo kupitia Google Play kwenye tovuti ya Wasanidi Programu wa Android.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
7117201902631973131
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
92637
false
false