Google Play kuwasiliana na wasanidi programu kwa simu

Kuanzia Juni 2022, Google Play itaanza kuwasiliana na wasanidi programu walioteuliwa kupitia nambari za simu walizoweka katika Dashibodi ya Google Play ili kuwauliza maswali kuhusu programu zao.

Kuhusu mabadiliko haya

Mabadiliko haya yanalenga kuhakikisha usalama wa watumiaji wa Google Play. Iwapo utapigiwa simu, haya ni mambo unayohitaji kujua:

  • Kabla hujapigiwa simu, utapokea barua pepe inayokutaarifu kuwa utapigiwa simu kutoka Google Play. 
  • Endapo una sasisho la programu linalosubiri kushughulikiwa unapopokea barua pepe hii, huenda ukaguzi wake ukakamilishwa baada ya kupigiwa simu.
  • Huenda ukapigiwa simu za ufuatiliaji

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Menyu kuu
17362230667394307457
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
true
true
true
true
true
92637
false
false