Makala haya ni ya wanafunzi na walimu ili kuwasaidia waboreshe huduma ya Google Darasani na wawasiliane na timu ya usaidizi wa kiufundi.
Kuomba kipengele au kutoa maoni
Maoni yako hutusaidia kuboresha huduma ya Google Darasani. Unaweza:
- Kuomba kipengele kipya
- Kuripoti tatizo
- Kutoa maoni
Kuwasiliana nasi
Muhimu: Usaidizi hutolewa katika Kiingereza pekee.
Iwapo nyenzo za kujisaidia hazijibu maswali yako, unaweza kuchapisha katika jumuiya ya usaidizi ili uwasiliane nasi.