Muhimu:
- Baadhi ya hatua hizi zinatumika tu kwenye Android 13 na matoleo mapya zaidi. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuangalia toleo unalotumia la Android.
- Watumiaji wanaosimamiwa wanaweza kutumia baadhi ya vipengele vya programu ya Usalama Binafsi. Pata maelezo kuhusu vipengele vinavyopatikana.
- Baadhi ya hatua hizi zinakuhitaji uguse skrini.
Kuwasha au kuzima mandhari meusi
- On your phone, open the Settings app.
- Tap Display.
- Turn Dark theme on or off.
Kidokezo: Unaweza kufanya skrini yako iwe rahisi kusoma na uokoe chaji ya betri kwenye baadhi ya skrini ukitumia mandhari meusi.
Kuzuia mandhari meusi yasiwashwe kiotomatikiIf you see a dark color scheme but didn’t turn on Dark theme, it could be that battery saver is on. When battery saver is on, Dark theme may turn on automatically. On some phones, battery saver turns on automatically when the phone’s battery charge falls below a certain percentage, like 15%.
Turn off battery saver
- On your phone, open the Settings app.
- Tap Battery
Battery Saver
Turn off now.
Tip: You can't use battery saver in light theme. If you want to use light theme, you need to turn off battery saver.
- On your phone, open the Settings app.
- Tap Battery
Battery Saver
Set a schedule.
- Choose No schedule.
Kuwasha chaguo lililopanuliwa la mandhari meusi
Muhimu:
- Unapotumia chaguo lililopanuliwa, baadhi ya programu zinaweza kuwa na mwonekano tofauti. Huenda picha zikaonekana kana kwamba zimebadilishwa au maandishi yaliyo juu ya picha yasiwe rahisi kusoma.
- Unaweza kuweka mipangilio ya programu zenye matatizo ya mwonekano ili zipuuze chaguo lililopanuliwa.
- Karibu na chaguo lililopanuliwa, gusa Mipangilio
.
- Zima swichi iliyo karibu na programu yoyote yenye matatizo ya mwonekano.
- Karibu na chaguo lililopanuliwa, gusa Mipangilio
- Ili uzime chaguo lililopanuliwa kwenye programu zote, chagua Kawaida kwenye ukurasa wa mipangilio ya mandhari meusi.
- Unaweza kuweka mipangilio ya programu zenye matatizo ya mwonekano ili zipuuze chaguo lililopanuliwa.
- Ikiwa umewasha chaguo lililopanuliwa lakini programu bado inaonekana kuwa mweupe:
- Huenda bado programu haitumii chaguo lililopanuliwa. Huenda ikawa kwenye orodha ya programu zilizozuiwa ya mtengenezaji wa kifaa chako.
- Huenda programu imeondolewa kwenye orodha ya programu zinazotumia chaguo lililopanuliwa la mandhari meusi.
- Fungua programu ya Mipangilio ya kifaa chako.
- Gusa Skrini na mguso
Mandhari meusi
Yaliyopanuliwa.
Kidokezo: Unaweza kufikia kipengele hiki kupitia kigae kilichopo cha Mipangilio ya Haraka. Ikiwa huoni kigae husika, kiweke kwenye kidirisha chako cha Mipangilio ya Haraka kwanza.
- Ili uwashe au uzime mandhari meusi: Gusa kigae cha mandhari meusi cha Mipangilio ya Haraka
.
- Ili ubadilishe kati ya hali ya kawaida na iliyopanuliwa: Gusa na ushikilie kigae cha mandhari meusi cha Mipangilio ya Haraka
ili ufungue ukurasa wa mipangilio ya mandhari meusi, kisha uguse chaguo ambalo ungependa kutumia.
Kurekebisha matatizo ya programu zinazoonyesha mandhari meusi
Dark theme isn't available for all apps.
Muhimu: Unapowasha mandhari meusi kwenye kifaa chako au wakati umewasha kiokoa betri, programu nyingi pia zitatumia mandhari meusi.
Ili uangalie mipangilio ya mandhari ya programu:
- Ikiwa umewasha mandhari meusi lakini programu ina mandhari meupe, huenda programu hiyo haina mandhari meusi.
- Ikiwa umewasha mandhari meupe lakini programu ina mandhari meusi, inaweza kuwa:
- Mandhari meusi yamewashwa kwenye programu, lakini si kwenye vipengee vyote vya kifaa. Ili uangalie, fungua mipangilio ya programu kisha utafute chaguo za “Mandhari” au “Skrini”. Maelezo mahususi hutofautiana kulingana na programu.
- Programu inatumia rangi nyeusi ya mwonekano na huwezi kuibadilisha.
Kubadilisha rangi ya mwonekano
- Kwenye simu yako, nenda kwenye programu ya Mipangilio.
- Gusa Mandhari na mtindo.
- Ili ubadilishe safu ya rangi ya mandhari yako, gusa Rangi za mandhari kisha uchague safu ya rangi unayopenda.
- Ili ubadilishe rangi ya vichupo vyako iwe rangi mahususi, gusa Rangi za msingi kisha uchague rangi unayopenda.
Nyenzo zinazohusiana
Pata maelezo kuhusu jinsi ya kutumia mandhari meusi kwenye programu hizi: