Muhimu:
- Baadhi ya hatua hizi hutumika tu kwenye Android 12 na matoleo mapya zaidi. Fahamu kuhusu jinsi ya kuangalia toleo lako la Android.
- Utahitaji kugusa skrini ya kifaa chako katika baadhi ya hatua.
- Hatua hizi pia zinafanya kazi kwenye Fitbit Ace LTE.
- Ikiwa una kishikwambi au kifaa ambacho zaidi ya mtu mmoja hutumia, kila mtu anaweza kuwa na mipangilio tofauti ya ufikiaji wa data ya mahali.
Turn location on or off for your device
- Fungua Mipangilio
.
- Gusa Mahali
.
- Washa au zima Tumia data ya mahali.
Kidokezo: Ili uweke "Mahali," nenda kwenye menyu yako ya Mipangilio ya Haraka:
- Telezesha kidole chini mara mbili kutoka sehemu ya juu ya skrini yako.
- Gusa Badilisha
.
- Buruta Mahali
kwenye Mipangilio yako ya Haraka.
- Programu zilizo na ruhusa ya mahali zinaweza kufikia data ya mahali kilipo kifaa chako ili kukupa maelezo, huduma au matangazo yanayotegemea mahali. Learn how to manage location permissions for apps.
- Iwapo umewasha mipangilio ya Usahihi wa Mahali (pia inajulikana kama Huduma za Mahali za Google), kipengele cha Usahihi wa Mahali kinaweza kukusanya data ili kuboresha usahihi wa mahali na huduma zinazotegemea mahali. Learn about Location Accuracy.
- Unaweza kupata matokeo ya utafutaji kulingana na mahali kifaa chako kilipo, ikiwa ruhusa za programu na kivinjari chako zinaruhusu. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kudhibiti data ya mahali ulipo unapotafuta kwenye Google.
- Unaweza kutambua mahali kifaa chako kilipo kikipotea. Pata maelezo kuhusu huduma ya Kitafutaji.
- You can share your device's location with others. Learn about Location Sharing with Google Maps and how to send your location in an emergency.
- Unaweza kupata arifa za tetemeko la ardhi kuhusu matetemeko ya ardhi yaliyo karibu nawe. Learn about earthquake alerts.
- Ikiwa umewasha mipangilio ya mahali ya saa za eneo, kifaa chako kinaweza kutumia maelezo ya mahali ulipo kubainisha saa za eneo uliko. Learn about location for time zone.
- Unapowasha kipengele cha Rekodi ya Maeneo Uliyotembelea, hata wakati hutumii programu za Google, maelezo ya mahali mahususi kifaa chako kilipo huhifadhiwa mara kwa mara kwenye kifaa chako. Kipengele cha Rekodi ya Maeneo Uliyotembelea kimezimwa kwa chaguomsingi. Unaweza kuwasha au kuzima kipengele cha Rekodi ya Maeneo Uliyotembelea wakati wowote katika Vidhibiti vya shughuli kwenye Akaunti yako ya Google. Pata maelezo zaidi kuhusu Rekodi ya Maeneo Uliyotembelea.
- Your device's location isn't shared with any apps. Features that use location may not work properly.
- Location Accuracy won’t collect data to improve location accuracy or location-based services. Learn about Location Accuracy.
- You can get search results and ads based on information such as your IP address. Learn how to manage your location when you search on Google.
- You may not be able to locate where your device is if you lose it. Pata maelezo kuhusu huduma ya Kitafutaji.
- You can’t share your device's location with anyone via Google Maps. Learn about Location Sharing with Google Maps.
- Emergency location services or your mobile carrier can still automatically send your device's location to emergency responders when you call or text an emergency number. Learn about emergency location services.
- You can’t get earthquake alerts for earthquakes nearby. Learn about earthquake alerts.
- Your device won’t be able to use location to determine your time zone. Learn about location for time zone.
- Even if you have Timeline turned on, the places your phone goes won’t be saved. Learn about Timeline.
- Apps with the nearby devices permission can still determine the relative position of connected devices. learn how to turn on the Nearby devices permission.
Understand the location settings available on your device
Important: When the location setting is off for your device, apps and services can't get your device's location. You can still get local results and ads based on your IP address.
Google ina huduma zinazotegemea mahali, ikiwemo:
- Usahihi wa Mahali katika kifaa chako (yaani Huduma za Mahali za Google): Ili upate data sahihi zaidi ya mahali katika kifaa chako, learn how to manage Location Accuracy.
-
Emergency Location Service for your Android device: Learn how to manage Android Emergency Location Service.
-
Arifa za tetemeko la ardhi katika kifaa chako cha Android: Ili upate taarifa kuhusu matetemeko ya ardhi karibu nawe kwenye kifaa chako, learn how to manage Earthquake alerts.
- Kutumia data ya mahali kwa saa za eneo kwenye kifaa chako: Ili upate taarifa za saa za eneo kulingana na mahali, learn how to manage location for time zone.
- Rekodi ya Maeneo Uliyotembelea katika Akaunti yako ya Google: Rekodi ya Maeneo Uliyotembelea ni mipangilio ya Akaunti ya Google inayokusaidia kuangalia historia na kukumbuka ulikotembelea kwa kuhifadhi kiotomatiki data ya ulikotembelea na njia ulizopitia kwenye ramani katika vifaa vyote ulivyotumia kuingia katika akaunti.
- Kuruhusu Ufikiaji wa Data ya Mahali Ulipo katika Ramani za Google: Ili uwafahamishe wengine mahali kifaa chako kilipo, pata maelezo kuhusu jinsi ya kuruhusu wengine wafikie data ya mahali ulipo katika wakati halisi kwenye Ramani za Google.
- Mahali katika huduma ya Tafuta: Ili upate matokeo yanayofaa unapotafuta hoja kwenye Google, pata maelezo kuhusu jinsi ya kudhibiti ruhusa za mahali katika tovuti na programu.
- Kutafuta Wi-Fi na Bluetooth: Ili kusaidia programu kupata maelezo bora ya mahali, learn how to scan for network or bluetooth devices.
- Ruhusa za vifaa vilivyo karibu: Ili uwezeshe vifaa vilivyo karibu viunganishe, learn how to turn on the Nearby devices permission.
Help your device get a more accurate location (Location Accuracy, also known as Google Location Services)
Muhimu: Si vifaa vyote vina mawimbi ya simu za mkononi, GPS au data ya vitambuzi vya kifaa. Mipangilio ya Usahihi wa Mahali hutumia mawimbi yanayopatikana ili kukadiria mahali.
Ili kuboresha data ya mahali kifaa kilipo, vifaa vya Android vilivyo na huduma za Google Play vina huduma ya Usahihi wa Mahali ambayo hutumia maelezo kutoka kwenye mawimbi ya simu za mkononi, kama vile milango ya mitandao ya Wi-Fi, minara ya mtandao wa simu na GPS, pamoja na data ya vitambuzi vya vifaa, kama vile kipima mchapuko na gurudumu tuzi, ili kuruhusu kifaa chako kukadiria haraka na kwa usahihi zaidi data ya mahali kifaa kilipo, hasa katika maeneo ambayo GPS haipatikani au imezuiwa, kama vile ndani au karibu na majengo makubwa. Pata maelezo zaidi kuhusu huduma za Google Play.
Kipengele cha Usahihi wa Mahali kinapowashwa, mara kwa mara Google hukusanya maelezo kuhusu vitambuzi na mawimbi ya simu za mkononi yaliyo karibu nawe ili kuchangia data ya mahali ya mawimbi ya simu za mkononi kutoka vyanzo vingi, ikitumia vitambulishi vinavyotolewa kinasibu, vya muda ambavyo vinabadilika na ambavyo havihusiani na mtu au akaunti mahususi. Vitambulishi hivi hubadilika kiotomatiki na mara kwa mara. Hatua hizi huzuia usitambuliwe kwenye data iliyokusanywa. Pata maelezo zaidi kuhusu uchakataji wa data ya Usahihi wa Mahali.
Kidokezo: Huduma ya Usahihi wa Mahali inapatikana pia kwenye Fitbit Ace LTE.
Turn your device's location accuracy on or off
Android 12 and higher and Fitbit Ace LTE
- Open Settings
.
- Tap Location
Location Services
Location Accuracy.
- Turn Improve Location Accuracy on or off.
Android 11 and lower
- Open Settings
.
- Tap Location
Advanced
Location Accuracy.
- Turn Improve Location Accuracy on or off.
When Location Accuracy is on, your device uses these sources to get the most accurate location, which may include elevation or floor level:
- Wireless signals, if available, such as:
- GPS
- Wi-Fi
- Mobile cellular networks
- Sensors, if available, such as:
- Accelerometer
- Barometer
- Gyroscope
This can be especially important if you’re using your device indoors or when GPS satellites are obscured, because in those situations devices need to use additional signals to be able to estimate their location. Apps and services with the appropriate permissions can use this location to provide you with location-based features.
When your device’s Location Accuracy is off:
- When available, only GPS and device sensors, such as accelerometer, barometer, and gyroscope, will be used to determine your device’s location, which may impact the availability and accuracy of locations for apps and services such as Google Maps and finding a lost device.
- Wireless signals and sensor data are not collected by the Location Accuracy service. However, emergency location services or your mobile carrier can still automatically send your device’s location enhanced by Location Accuracy to emergency responders when you call or text an emergency number.
Muhimu:
- Kwenye vifaa vinavyotumia Android 12 na matoleo mapya zaidi, unaweza kudhibiti ruhusa ya kufikia data ya mahali mahususi kwa kila programu kivyake. Hii ni tofauti na Usahihi wa Mahali, ambayo ni mipangilio ya mahali kwenye kifaa chako inayoruhusu matumizi ya vyanzo zaidi kupata data ya mahali iliyo sahihi zaidi. Unapowasha mipangilio ya Usahihi wa Mahali, unaweza kuipa programu ruhusa za mahali palipokadiriwa pekee ikiwa hungependa kuiruhusu ifikie data ya mahali mahususi kifaa chako kilipo. Ukizima mipangilio ya Usahihi wa Mahali, huenda programu zisiweze kupata data sahihi ya mahali kifaa chako kilipo. Learn how to choose which apps use your Android device’s location.
- Baadhi ya vifaa, kama vishikwambi vya Wi-Fi-pekee, havina GPS wala huduma ya kutambua mahali wakati wa dharura.
Set up Wi-Fi and Bluetooth scanning
To help apps get better location info, you can let your device scan for nearby Wi-Fi access points or Bluetooth devices.
Android 12 and higher
- Open Settings
.
- Tap Location
Location Services.
- Turn Wi-Fi scanning or Bluetooth scanning on or off.
Android 11 and lower
- Open Settings
.
- Tap Location
Wi-Fi scanning or Bluetooth scanning.
- Turn Wi-Fi scanning or Bluetooth scanning on or off.
If you use an older Android version
Choose location settings (Android 9.0)
To change location settings:
- Open your device's Settings app.
- Tap Security and Location
Location.
- If you have a work profile, tap Advanced.
Then, choose an option:
- Turn Location on or off: Tap Location.
- Scan for nearby networks: Tap Advanced
Scanning. Turn Wi-Fi scanning or Bluetooth scanning on or off.
- Turn emergency location service on or off: Tap Advanced
Google Emergency Location Service. Turn Emergency Location Service on or off.
- Open your device's Settings app.
- Tap Security and Location
Location.
- If you don't find "Security and Location," tap Location.
- Tap Mode.
- Select a mode:
- High accuracy: Use GPS, Wi-Fi, mobile networks, and sensors to get the most accurate location. Use Google Location Services to help estimate your device's location faster and more accurately.
- Battery saving: Use sources that use less battery, like Wi-Fi and mobile networks. Use Google Location Services to help estimate your device's location faster and more accurately.
- Device only: Use GPS and sensors. Don’t use Google Location Services to improve location accuracy. This can estimate your device's location more slowly and use more battery.
You can control what location information your device can use.
- Open your device's Settings app.
- Under "Personal," tap Location access.
- At the top of the screen, turn Access to my location on or off.
- When location access is on, pick either or both of:
- GPS satellites: Lets your device estimate its location from satellite signals, like a GPS device.
- Wi-Fi and mobile network location: Lets your device use Google Location Services to help estimate its location faster, with or without GPS.
- When location access is off:
Your device can’t find its precise location or share it with any apps.
- When location access is on, pick either or both of: