Kudhibiti mipangilio ya mahali katika kifaa chako cha Android

You can use location-based services such as local search results, commute predictions, and nearby restaurants based on your device's location, when device location is on in settings.

Muhimu:

  • Hatua hizi pia zinafanya kazi kwenye Fitbit Ace LTE.
  • Ikiwa una kishikwambi au kifaa ambacho zaidi ya mtu mmoja hutumia, kila mtu anaweza kuwa na mipangilio tofauti ya ufikiaji wa data ya mahali.

Turn location on or off for your device

  1. Fungua Mipangilio .
  2. Gusa Mahali .
  3. Washa au zima Tumia data ya mahali.

Kidokezo: Ili uweke "Mahali," nenda kwenye menyu yako ya Mipangilio ya Haraka:

  1. Telezesha kidole chini mara mbili kutoka sehemu ya juu ya skrini yako.
  2. Gusa Badilisha .
  3. Buruta Mahali kwenye Mipangilio yako ya Haraka.
When Location is on
When Location is off

Understand the location settings available on your device

Important: When the location setting is off for your device, apps and services can't get your device's location. You can still get local results and ads based on your IP address.

Google ina huduma zinazotegemea mahali, ikiwemo:

Tip: Apps have their own permission settings. Learn how to manage location permissions for apps.

Help your device get a more accurate location (Location Accuracy, also known as Google Location Services)

Muhimu: Si vifaa vyote vina mawimbi ya simu za mkononi, GPS au data ya vitambuzi vya kifaa. Mipangilio ya Usahihi wa Mahali hutumia mawimbi yanayopatikana ili kukadiria mahali.

Ili kuboresha data ya mahali kifaa kilipo, vifaa vya Android vilivyo na huduma za Google Play vina huduma ya Usahihi wa Mahali ambayo hutumia maelezo kutoka kwenye mawimbi ya simu za mkononi, kama vile milango ya mitandao ya Wi-Fi, minara ya mtandao wa simu na GPS, pamoja na data ya vitambuzi vya vifaa, kama vile kipima mchapuko na gurudumu tuzi, ili kuruhusu kifaa chako kukadiria haraka na kwa usahihi zaidi data ya mahali kifaa kilipo, hasa katika maeneo ambayo GPS haipatikani au imezuiwa, kama vile ndani au karibu na majengo makubwa. Pata maelezo zaidi kuhusu huduma za Google Play.

Kipengele cha Usahihi wa Mahali kinapowashwa, mara kwa mara Google hukusanya maelezo kuhusu vitambuzi na mawimbi ya simu za mkononi yaliyo karibu nawe ili kuchangia data ya mahali ya mawimbi ya simu za mkononi kutoka vyanzo vingi, ikitumia vitambulishi vinavyotolewa kinasibu, vya muda ambavyo vinabadilika na ambavyo havihusiani na mtu au akaunti mahususi. Vitambulishi hivi hubadilika kiotomatiki na mara kwa mara. Hatua hizi huzuia usitambuliwe kwenye data iliyokusanywa. Pata maelezo zaidi kuhusu uchakataji wa data ya Usahihi wa Mahali.

Kidokezo: Huduma ya Usahihi wa Mahali inapatikana pia kwenye Fitbit Ace LTE.

Turn your device's location accuracy on or off

Android 12 and higher and Fitbit Ace LTE

  1. Open Settings .
  2. Tap Location kisha Location Services kisha Location Accuracy.
  3. Turn Improve Location Accuracy on or off.

Android 11 and lower

  1. Open Settings .
  2. Tap Location kisha Advanced kisha Location Accuracy.
  3. Turn Improve Location Accuracy on or off.
When Location Accuracy is on

When Location Accuracy is on, your device uses these sources to get the most accurate location, which may include elevation or floor level:

  • Wireless signals, if available, such as:
    • GPS
    • Wi-Fi
    • Mobile cellular networks
  • Sensors, if available, such as:
    • Accelerometer
    • Barometer
    • Gyroscope

This can be especially important if you’re using your device indoors or when GPS satellites are obscured, because in those situations devices need to use additional signals to be able to estimate their location. Apps and services with the appropriate permissions can use this location to provide you with location-based features.

When Location Accuracy is off

When your device’s Location Accuracy is off:

  • When available, only GPS and device sensors, such as accelerometer, barometer, and gyroscope, will be used to determine your device’s location, which may impact the availability and accuracy of locations for apps and services such as Google Maps and finding a lost device.
  • Wireless signals and sensor data are not collected by the Location Accuracy service. However, emergency location services or your mobile carrier can still automatically send your device’s location enhanced by Location Accuracy to emergency responders when you call or text an emergency number.
Tip: No location or Location Accuracy data is collected by Google in such a scenario. Learn about emergency location services

Muhimu:

  • Kwenye vifaa vinavyotumia Android 12 na matoleo mapya zaidi, unaweza kudhibiti ruhusa ya kufikia data ya mahali mahususi kwa kila programu kivyake. Hii ni tofauti na Usahihi wa Mahali, ambayo ni mipangilio ya mahali kwenye kifaa chako inayoruhusu matumizi ya vyanzo zaidi kupata data ya mahali iliyo sahihi zaidi. Unapowasha mipangilio ya Usahihi wa Mahali, unaweza kuipa programu ruhusa za mahali palipokadiriwa pekee ikiwa hungependa kuiruhusu ifikie data ya mahali mahususi kifaa chako kilipo. Ukizima mipangilio ya Usahihi wa Mahali, huenda programu zisiweze kupata data sahihi ya mahali kifaa chako kilipo. Learn how to choose which apps use your Android device’s location.
  • Baadhi ya vifaa, kama vishikwambi vya Wi-Fi-pekee, havina GPS wala huduma ya kutambua mahali wakati wa dharura.

Set up Wi-Fi and Bluetooth scanning

To help apps get better location info, you can let your device scan for nearby Wi-Fi access points or Bluetooth devices.

Android 12 and higher

  1. Open Settings .
  2. Tap Location  kisha Location Services.
  3. Turn Wi-Fi scanning or Bluetooth scanning on or off.

Android 11 and lower

  1. Open Settings .
  2. Tap Location kisha Wi-Fi scanning or Bluetooth scanning
  3. Turn Wi-Fi scanning or Bluetooth scanning on or off.

If you use an older Android version

Choose location settings (Android 9.0)

To change location settings: 

  1. Open your device's Settings app.
  2. Tap Security and Location kisha Location.
    • If you have a work profile, tap Advanced.

Then, choose an option:

  • Turn Location on or off: Tap Location.
  • Scan for nearby networks: Tap Advanced kishaScanning. Turn Wi-Fi scanning or Bluetooth scanning on or off.
  • Turn emergency location service on or off: Tap Advanced kishaGoogle Emergency Location Service. Turn Emergency Location Service on or off. 
Choose location mode (Android 4.4—8.1)
  1. Open your device's Settings app.
  2. Tap Security and Location kisha Location.
    • If you don't find "Security and Location," tap Location.
  3. Tap Mode.
  4. Select a mode:
    • High accuracy: Use GPS, Wi-Fi, mobile networks, and sensors to get the most accurate location. Use Google Location Services to help estimate your device's location faster and more accurately.
    • Battery saving: Use sources that use less battery, like Wi-Fi and mobile networks. Use Google Location Services to help estimate your device's location faster and more accurately.
    • Device only: Use GPS and sensors. Don’t use Google Location Services to improve location accuracy. This can estimate your device's location more slowly and use more battery.
Choose location access (Android 4.1—4.3)

You can control what location information your device can use.

  1. Open your device's Settings app.
  2. Under "Personal," tap Location access.
  3. At the top of the screen, turn Access to my location on or off.
    • When location access is on, pick either or both of:
      • GPS satellites: Lets your device estimate its location from satellite signals, like a GPS device.
      • Wi-Fi and mobile network location: Lets your device use Google Location Services to help estimate its location faster, with or without GPS.
    • When location access is off:
      Your device can’t find its precise location or share it with any apps.

Je, maelezo haya yamekufaa?

Tunawezaje kuboresha?

Je, unahitaji usaidizi mwingine?

Jaribu hatua zifuatazo:

Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
3977714324725402775
true
Tafuta kwenye Kituo cha Usaidizi
false
true
true
true
false
false
false
false