- Tumefafanua vizuri zaidi masharti ya kijiografia ya sera yetu kuhusu kamari.
- Tumefafanua kwa uwazi kuhusu utendaji wa msingi ambao ni sharti uwepo katika programu zilizo kwenye Google Play.
- Tumebainisha matendo fulani ya programu za mwongozo ambayo yatazuia uchapishaji kwenye Google Play.
- Tumechukua hatua za ziada ili kulinda watumiaji kwa kudhibiti jinsi na wakati wasanidi programu wanaweza kuweka maombi ya ruhusa.
Tangazo la sera: Oktoba 2017
Je, maelezo haya yamekufaa?
Tunawezaje kuboresha?